Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Muda mfupi upi mkuu?
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????

Kuna watu wana roho mbaya sijapata kuona......chuo gani hicho arifu?sad newz...