Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

My take
Kwa hali ilovyo hali haiwezi kuwa shwari kwa migomo hii. Solution ya kwanza ni kwa wale wenye kesi. Hawa wamefukuzwa solely because wanakesi. Ni kweli sheria za chuo zinasema hivyo lakini ni dhahiri zinapingana na katiba ya nchi. Kwa sababu chuo tayari kimewahukumu hata kabla ya kuhukumiwa. Ina maana wakionekana hawana hatia watakuwa wameadhibiwa pasipo na kosa. Hivyo, Daruso itafute wanasheria, preferably LHRC where they provide legal Aid. Hapa they can pray for injunction from high court ambapo decision ya chuo itawekwa pembeni mpaka hapo kesi yao itakapoisha. Naamini mahakama zetu zipo huru na hazitaingiliwa katika hili. Kwa kuwa sababu zipo wazi, jambo hili huwa halichukui muda na wanafunzi hao watarudi kusoma kama kawaida. Mgomo mwingine wowote utapelekea wengi zaidi kukamatwa na hii haitawa saidia wanafunzi hawa. Tukumbuke maamuzi ya kesheria yanapingwa kisheria. Dowans mpaka leo tumepiga kelele na maandamano lakini maamuzi ya mahakama kuu yanasimama. Lazima sheria itumike kutatua matatizo yatokanayo na maamuzi ya kisheria.
 
Je huo ndiyo utakuwa mwisho wa Migomo? Suluhisho ni nini?
 
 
 
duh!!!
Naona tunarudi miaka ya 45 iliyopita.
 
gomeni alafu chuo kifungwe,...mtapoteza sana tham gaining

Hawa vijana kama kweli wanataka kuwasaidia wenzao waliofukuzwa na kuondoa kabisa huo uonevu wandelee kugoma, ili kama inawezekana Chuo kifukuze wanafunzi wote.
 

Boom limeingia,haya mnakula,hao wenzenu wanaobeba mabegi kwenda nyumbani mnawasaidiaaje? acheni ujinga,wenzenu wanaumia nyie mnakula raha shit!
 

This is what we call great thinking! Keep it UP Calnde
 
inakuwaje kama sheria itawaona kuwa hawana hatia na hawakusitahili kufikishwa mahakamani,bado watakuwa wamefukuzwa chuo?
 

Pongezi kwa Mkandala et al.

Hiyo itakuwa fundisho kwa wote wasiojua malengo ya kwenda chuo. Wakigoma tena timua.


mwisho watatia akili.
 
Kuna miongoni mwa hao waliotoa maamuzi waliwahi kugoma wakati wanasoma, hata hivyo walipata fursa ya kuendelea na masomo na hadi kufikia hatua hiyo ya kupata nafasi za kutoa maamuzi leo hii. Lakini cha ajabu wanatoa maamuzi ya kijinga!
 
Kipengele cha NNE kimenisikitisha na kunishitua sana haya ni maamuzi ya KINYANI kabisa
 
The government is insecure and has decided to be oppressive in response. I wonder why the annually Human Rights report done by LHRC are not taken into consideration.

Oops. Does the gavoo listen anyway? Poleni sana
lhrc na wanaharakati ni wala pesa na vibaraka tu.... umeona wapi impact yao? labda kwenye kuandaa warsha na makongano
 
Pongezi kwa Mkandala et al.

Hiyo itakuwa fundisho kwa wote wasiojua malengo ya kwenda chuo. Wakigoma tena timua.


mwisho watatia akili.
tatzo la kutosoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…