Wanafunzi zaidi ya laki 7 wanamaliza elimu ya msingi leo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Wanafunzi wa Darasa la saba takribani 795,761 leo wameanza mitihani yao ya kumaliza darasa la saba inayotarajiwa kumalizika kesho nchini,ambapo walimu wametakiwa kuhakikisha hakuna udanganyifu unaojitokeza.

WanaJF wenzangu tujiandae kupokea vijana wapya, tuwachunge wasiangamie kabla hawajafikia level stahiki ya elimu.
 
miaka mitano mbele utasikia wanaoingia kidato cha tano ni wanafunzi elfu kadhaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…