Wanahabari muonyeshe pia picha zote za polisi, sio kuficha zingine

Uko kwenu Kenya mtamfanyia hivyo askari....naskia huwa mpka mnawakunjaa na kuwafanya mtakavyo...hongereni sanasana
Sisi huku kwetu TZ huwa hatuna demokrasia...ukimfanyia hivyo askari utajuuutraaaa.....utakula marungu na vipepsi+mashutii utaomba pooooo..
zitakuja gari kma 100 hv Za FFU kumpa kipondo mtu mmoja tu....
Hongereni kwa kuwaburuza polisi huwa wanaboa sanaa hao
 
It is their duty nothing special! A reason media exposes their evil..
 
The police are also human. I mean they are our brothers, sisters, fathers, mothers etc. Problem is, they smoke too much weed.
 
kweli somo la uraia linahitajika. yaani kumkunja askari ndo demokrasia.
weee mwenyewe hapo mtu akikukunja utamchekea??
jamani tutumie vizuri basi uwezo wetu wa kufikiri.
 
These idiots are breaking into people's homes, beating them to death, raping women and using live ammunition protesters. Ukiwaletea adui wa kweli, al kebab, hawapo. Which "real " picture are you referring to?
 
Nchi gani kati ya kenya na tz inaongoza kwa askari kuua wananchi wa kawaida?
 
mpk nijue amembeba anampeleka wapi...hao watu hawaaminiki
Nahisi wanaelekea lodge,hyo facial expression ya huyo dada inaleta ukakasi kidogo,hayo macho alivyoyafumba na mdomo alivyouweka utafikiri amekalia something cylindlical.
 
Nahisi wanaelekea lodge,hyo facial expression ya huyo dada inaleta ukakasi kidogo,hayo macho alivyoyafumba na mdomo alivyouweka utafikiri amekalia something cylindlical.

Alikua anamuondoa kwenye vurugu LA mabomu ya machozi baada ya makabiliano baina ya polisi na waporaji kwenye mtaa unaoitwa Kawangware
 
These idiots are breaking into people's homes, beating them to death, raping women and using live ammunition protesters. Ukiwaletea adui wa kweli, al kebab, hawapo. Which "real " picture are you referring to?
they won't dare reply to this post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…