JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Waandishi wa Habari ni wahudumu wa jamii lakini si Wanasiasa kwa tafsiri ya kawaida ya neno hilo, ingawa jukumu lao la kijamii lina uzito wa kisiasa
Maadili ya msingi wa kazi yao ya kiweledi ni maadili ya ulimwengu mzima: amani, demokrasia, uhuru, mshikamano, usawa, elimu, haki za binadamu, haki za wanawake, haki za watoto, maendeleo ya kijamii
Hivyo kazi yao inachangia kuleta mabadiliko ya kijamii na kisiasa
Upvote
1