astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Manara alisema ataihama Simba endapo Barcelona itaondolewa kwenye UEFA msimu huu wa 2018/2019 na klab ya Liverpool, kitendo hicho kilikamilika jana cha Barca kusukumwa nje ya uefa. Kwa sasa wanahabari wa michezo tunaomba mfanye naye interview ili aimbie dunia kama Kweli kwa akili yake timamu alimaanisha ama akili kidogo ilkuwa imeyumba. Itapendeza huyo jamaa kaomba hata msahama kwa klabu za Simba, Yanga na Liverpool. Wengne watauliza kwa nn aitake radhi SIMBA? Jibu ni kwamba aiombe radhi club ya SIMBA kwamba , bado yupo Simba na hatamani kwa jirani (Yanga) .
Hivyo basi , waandishi wa habari za michezo fanyeni hivyo.
Naomba kuwasilisha.
Hivyo basi , waandishi wa habari za michezo fanyeni hivyo.
Naomba kuwasilisha.