Baada ya mchezo wa Simba na Yanga kugubikwa na sintofahamu, waandishi wa habari za michezo wameshindwa kutimiza majukumu yao ya kutafuta habari kwa kuwahoji wahusika, wamekua wakisubiri matamko yanatolewa na Yanga, Simba, TFF, Bodi ya Ligi ndiyo wanajichomeka humo kuanza kuongea na kuandika vitu vya kijinga jinga tu.
Kwanini waandishi wa habari za michezo wasimtafute Waziri wa Habari sanaa na michezo kumhoji kwanini mechi ilisogezwa mbele? Kwasababu barua ya TFF ilitoa taarifa kua wamepokea maelekezo kutoka Wizara ya Habari sanaaa na michezo?