Wanahabari waachiwa huru katika kesi ya kumrekodi Rais akitokwa na haja ndogo

Wanahabari waachiwa huru katika kesi ya kumrekodi Rais akitokwa na haja ndogo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa alikuwa akitokwa na haja ndogo wakati wa kusikiliza Wimbo wa Taifa.

Jumuiya ya Waandishi wa Habari ya Sudan Kusini (UJOSS) imewataja walioachiwa kuwa ni Victor Ladu na Mustapha Osman, pia imeitaka Serikali kuwaachia huru pia waliosalia ambao ni Garang John na Jacob Benjamin au wawafikishe katika Mahakamani.

Video hiyo ilirekodiwa Desemba 2022 na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, ambapo kitendo cha kuwakamatwa Wanahabari hao na kutowafikisha kwenye vyombo vya kisheria kimelaaniwa na vikundi vingi vya kutetea haki ikiwemo Kamati ya Kulinda Wanahabari (CPJ) ya Marekani.


===============

Journalists freed over video of president appearing to wet himself

Two of four journalists who were detained in January after a video appearing to show South Sudan president wetting his trousers at a public function have been released.

The Union of Journalists of South Sudan (UJOSS) said in a statement that it welcomed the release of Victor Ladu and Mustapha Osman.

In December last year, a video shared on social media appeared to show Mr Kiir urinating on himself as the national anthem played at a function.

Six staff from the state broadcaster were later arrested, but two remain in detention.

"[We] urge the government to release Garang John and Jacob Benjamin or if they have a case to answer, they should be produced in a court of law," UJOSS statement said.

The arrests had been condemned by rights groups including The Committee to Protect Journalists (CPJ).

The arrests match "a pattern of security personnel resorting to arbitrary detention whenever officials deem coverage unfavourable", said CPJ's sub-Saharan Africa representative, Muthoki Mumo said at the time.

Source: BBC
 
Mmmh!! Waafrika huwa tuna upumbavu mwingi kweli. Sasa hapo kosa lipo wapi? Ama rais yeye huwa halowani ?

Ebu kwanza tueleze alikuwa kalowana sehemu gani vile?
 
Back
Top Bottom