Wanahabari wanaposhangazwa na Historia iliyopo katika Maktaba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa itafaa warejee siku nyingine kwa kipindi maalum cha historia ya Tanzania.

Huwa kama hivi:


View: https://youtu.be/cK59l8GSmWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…