Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
nashangaa sana kila siku kuwasikia wanaharakati na baadhi ya taasisi binafisi wakisema WANASIASA WASIHODHI MCHAKATO WA KATIBA.
wanataka wananchi wahodhi mchakato wa katiba.
1.SWALI:hivi wanasiasa ni wakimbizi ama ni wananchi?
2.wakati wanasiasa wakiongoza harakati za kutaka katiba mpya toka miaka ya 90 NYINYI WANAHARAKATI NA WATU MSIOTAKA WANASIASA MLIKUWA WAPI?
3.wanaharati munataka nyie ndio mtawale mchakato wa katiba kwa kigezo kipi?
4.WAKATI wapinzani wakishinikiza utungwaji wa sheria bora ya marekebisho ya katiba NYIE MLIKUWA MKO BUSSY KUTAKA WANASIASA WASIUTAWALE MCHAKATO.kivipi nyinyi mumepigania sheria bora?
5.kwani mioyo ya wanasiasa ni tofauti na ya kwenu?
6.HIVI inaingia akilini kusema watu waliopagania mchakato katiba mpya LEO WAWEKWE PEMBENI KAMA GREDA baada ya kutengeneza barabara?