Sorry wanaJF, Sorry mod naomba mniruhusu nitoe ombi dogo...
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kwa kuzingatia umuhimu mkubwa wa kuwepo kwa timu imara katika kulinda kura zetu, nawaomba wanaJF wote wapenda haki hususan wana CHADEMA na wapinzani wengine waniPM ili tujadiliane jinsi tutakavyounda timu (ya kujitolea) tukishirikiana na viongozi na makada wengine mkoani hapa kulinda kura zetu...