Wanaharakati waandamana kwenye jengo la Bunge kutaka kutambuliwa kwa watu wa jinsia ya 3

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
Wanaharakati nchini Kenya wameandamana katika majengo ya Bunge kushinikiza kutambuliwa kwa jinsia ya tatu, watu ambao si wa kike au kiume.

Jana ni siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuhusu watu kama hao.

Waandamanaji hao wanaungwa mkono na Mbunge Mwaura Isaac, ambaye ameapa kuwatetea watu hao wanaotaka kutambulika kwa watu wa jinsia ya 3.

Mbunge Mwaura Isaac ameitaka Serikali kupeleka mabadiliko ya sheria Bungeni ili watu wenye jinsia ya 3 waweze kutambulika rasmi na sheria za nchi.

Mbunge huyo amesema kuwa sheria zilizopo zinawanyanyapaa watu wa jinsia ya 3.

Chanzo: BBC Swahili

14702437_1326661097352552_8713384720642217478_n.jpg
IntersexPic.jpg
 
Ndio watu gani hao? Hawana papuchi wala babu jumA?
 
utaahira katika phd level. Mungu aliumba jinsia 2 tu you blood fools.hiyo ya tatu inatoka kwa muumbaji gani?
 
maduanzi hawa.wanafanya kila kitu hata cha kijinga ili mradi wasikike duniani kuwa wapo. mara wamfungulie mashtaka aliemuua Yesu,mara waifungulie mashtaka korea kaskazini kusababisha tetemeko bukoba yaani vurugu tupu. idiots
 
inaonekana bado mchanga sana kiakili wewe, haujaona malimwengu....
. so I guess hawa waliumbwa na shetani

wp_ss_20161027_0001.png
small (17).png

Kuna watu wanateseka kiukweli alafu wewe unaleta ignorance ya ujinga..... ndo maana wengine wenu mnaona albino si binadamu bali chombo cha kujitajirisha..... huu ujinga tuwache jameni
 
Hamna haja ya kuwaponda hawa maana hayo ni maumbile, na sio chaguo lao. Unazaliwa ukiwa na dushe na papuchi, sasa ufanyeje. Tatizo ni wale hufanya maamuzi ya kuchagua jinsia, leo hii anazaliwa akiwa mwanaume kesho anakwenda anafanyiwa upasuaji anakuja akiwa mwanamke.

Hawa wa jinsia mbili wanafaa kutambuliwa kisheria, kwa kweli ni hali ngumu yenye manyanyaso, haswa akikamatwa na kutupwa jela, kwa mfano mtu mwenye papuchi umetupwa kwenye gereza la wanaume halafu wakujue unalo wewe.

Japo bahati ni pale una dushe imara halafu umefungwa kwenye gereza la wanawake wenye njaa fulani...hehehe natania tu
 
Wanaharakati nchini Kenya wameandamana katika majengo ya Bunge kushinikiza kutambuliwa kwa jinsia ya tatu, watu ambao si wa kike au kiume.

Jana ni siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuhusu watu kama hao.

Waandamanaji hao wanaungwa mkono na Mbunge Mwaura Isaac, ambaye ameapa kuwatetea watu hao wanaotaka kutambulika kwa watu wa jinsia ya 3.

Mbunge Mwaura Isaac ameitaka Serikali kupeleka mabadiliko ya sheria Bungeni ili watu wenye jinsia ya 3 waweze kutambulika rasmi na sheria za nchi.

Mbunge huyo amesema kuwa sheria zilizopo zinawanyanyapaa watu wa jinsia ya 3.

Chanzo: BBC Swahili

View attachment 424879 View attachment 424876
Kenya na Nigeria mmetisha sana katika matukio ya kuvutia Afrika, inamaana hwa watu wa jinsia ya 3, hawana ile kwichkwich au inakuwaje jamani?.Dunia kweli ya Mungu vitu na mtukio kama haya niyamzungu.
 
Wazee wakutafuta kick hao
Yaani wanapenda kuuza kwenye media!!
 
maduanzi hawa.wanafanya kila kitu hata cha kijinga ili mradi wasikike duniani kuwa wapo. mara wamfungulie mashtaka aliemuua Yesu,mara waifungulie mashtaka korea kaskazini kusababisha tetemeko bukoba yaani vurugu tupu. idiots
Hatari sana.
 
Hamna haja ya kuwaponda hawa maana hayo ni maumbile, na sio chaguo lao. Unazaliwa ukiwa na dushe na papuchi, sasa ufanyeje. Tatizo ni wale hufanya maamuzi ya kuchagua jinsia, leo hii anazaliwa akiwa mwanaume kesho anakwenda anafanyiwa upasuaji anakuja akiwa mwanamke.

Hawa wa jinsia mbili wanafaa kutambuliwa kisheria, kwa kweli ni hali ngumu yenye manyanyaso, haswa akikamatwa na kutupwa jela, kwa mfano mtu mwenye papuchi umetupwa kwenye gereza la wanaume halafu wakujue unalo wewe.

Japo bahati ni pale una dushe imara halafu umefungwa kwenye gereza la wanawake wenye njaa fulani...hehehe natania tu
kwa ufupu ndio hiyo. Hawa watu pia kitabia wanageuza kati ya jinsia, leo mwanamke keshi mwanaume sababu wanazo hormone zote. Afu hapa wanajijaza humu JF full wale mijitu ya kula waafrika waliokosa melanin
 
inaonekana bado mchanga sana kiakili wewe, haujaona malimwengu....
. so I guess hawa waliumbwa na shetani

View attachment 424923 View attachment 424924

Kuna watu wanateseka kiukweli alafu wewe unaleta ignorance ya ujinga..... ndo maana wengine wenu mnaona albino si binadamu bali chombo cha kujitajirisha..... huu ujinga tuwache jameni

Kumelimisha mtanzania ni kazi kubwa ajabu!....japokua tupo enzi za "google" na mtandao wazi!....wapo duni sana kwa uelewa wa mambo,bure kabisa watu hawa!
 
yani hawa watu wana ongea na kuishi nikama bado tuko zile enzi za waganga na wachawi ndio wataalam... mtoto akizaliwa na kasoro basi hio ni laana, lazma umuue ama umtoe kafara...
 
Kitaalamu hawa watu wanaitwa Hermaphrodite , hii ni hali mtu anazaliwa akiwa na sehemu mbili za uzazi yaani ya mwanaume (testes) na ya mwanamke (ovaries) kati ya hawa hermaphrodite kuna wengine unakuta ya kiume hipo active kuzidi ya kike au wengine ya kike ndio yenye nguvu zaidi.... Katika nchi za wenzetu zilizopiga hatua kubwa katika masuala ya afya na teknolojia wanaweza kuifanya ile jinsia iliyo active iweze exist na kuiondoa /kuziba ile ambayo ipo inactive.... Hermaphrodites wapo wa aina mbili kuna True Hermaphrodites na pseudohermaphrodites..... Kusema kweli hawa watu wapo katika jamii zetu na wanapata unyanyapaa kwa makosa yasiyo yao hivyo napenda kuwapongeza Kenya kwa ujasiri walionyesha kwa kweli nasi Tanzania tuchukue nafasi hii kuwatambua watu hawa..... Cha kuelewa ni kwamba Watu hawa hawana mahusiano na MASHOGA WALA MALESBIANS hawa ni natural wanakuwa na jinsia mbili
 
Tanzanians are stupid no wonder they kill albinos.

These people were born that way. They didn't choose their body.

Why do Tanzanians here feel the need to vilify these people? Tanzanians..... SMH
 
Not all Tanzanians mkuu nomasana.... Ni vipi unamwita STUPID mTz aliyeko kule kijijini kwetu GodeGode ambaye hata Smartphone hana
 
How did he she get to comment hapa JF kama hana sim. Makes no sense.bure kabisaa!!!!
Kuwa kijijini doesn't make you not respect the right to life. Don't kill albinos! period...
 
Back
Top Bottom