hivi una akili kweliutaahira katika phd level. Mungu aliumba jinsia 2 tu you blood fools.hiyo ya tatu inatoka kwa muumbaji gani?
may i ask you the same misshivi una akili kweli
inaonekana bado mchanga sana kiakili wewe, haujaona malimwengu....utaahira katika phd level. Mungu aliumba jinsia 2 tu you blood fools.hiyo ya tatu inatoka kwa muumbaji gani?
Kenya na Nigeria mmetisha sana katika matukio ya kuvutia Afrika, inamaana hwa watu wa jinsia ya 3, hawana ile kwichkwich au inakuwaje jamani?.Dunia kweli ya Mungu vitu na mtukio kama haya niyamzungu.Wanaharakati nchini Kenya wameandamana katika majengo ya Bunge kushinikiza kutambuliwa kwa jinsia ya tatu, watu ambao si wa kike au kiume.
Jana ni siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuhusu watu kama hao.
Waandamanaji hao wanaungwa mkono na Mbunge Mwaura Isaac, ambaye ameapa kuwatetea watu hao wanaotaka kutambulika kwa watu wa jinsia ya 3.
Mbunge Mwaura Isaac ameitaka Serikali kupeleka mabadiliko ya sheria Bungeni ili watu wenye jinsia ya 3 waweze kutambulika rasmi na sheria za nchi.
Mbunge huyo amesema kuwa sheria zilizopo zinawanyanyapaa watu wa jinsia ya 3.
Chanzo: BBC Swahili
View attachment 424879 View attachment 424876
Hatari sana.maduanzi hawa.wanafanya kila kitu hata cha kijinga ili mradi wasikike duniani kuwa wapo. mara wamfungulie mashtaka aliemuua Yesu,mara waifungulie mashtaka korea kaskazini kusababisha tetemeko bukoba yaani vurugu tupu. idiots
kwa ufupu ndio hiyo. Hawa watu pia kitabia wanageuza kati ya jinsia, leo mwanamke keshi mwanaume sababu wanazo hormone zote. Afu hapa wanajijaza humu JF full wale mijitu ya kula waafrika waliokosa melaninHamna haja ya kuwaponda hawa maana hayo ni maumbile, na sio chaguo lao. Unazaliwa ukiwa na dushe na papuchi, sasa ufanyeje. Tatizo ni wale hufanya maamuzi ya kuchagua jinsia, leo hii anazaliwa akiwa mwanaume kesho anakwenda anafanyiwa upasuaji anakuja akiwa mwanamke.
Hawa wa jinsia mbili wanafaa kutambuliwa kisheria, kwa kweli ni hali ngumu yenye manyanyaso, haswa akikamatwa na kutupwa jela, kwa mfano mtu mwenye papuchi umetupwa kwenye gereza la wanaume halafu wakujue unalo wewe.
Japo bahati ni pale una dushe imara halafu umefungwa kwenye gereza la wanawake wenye njaa fulani...hehehe natania tu
inaonekana bado mchanga sana kiakili wewe, haujaona malimwengu....
. so I guess hawa waliumbwa na shetani
View attachment 424923 View attachment 424924
Kuna watu wanateseka kiukweli alafu wewe unaleta ignorance ya ujinga..... ndo maana wengine wenu mnaona albino si binadamu bali chombo cha kujitajirisha..... huu ujinga tuwache jameni
yani hawa watu wana ongea na kuishi nikama bado tuko zile enzi za waganga na wachawi ndio wataalam... mtoto akizaliwa na kasoro basi hio ni laana, lazma umuue ama umtoe kafara...Kumelimisha mtanzania ni kazi kubwa ajabu!....japokua tupo enzi za "google" na mtandao wazi!....wapo duni sana kwa uelewa wa mambo,bure kabisa watu hawa!
Not all Tanzanians mkuu nomasana.... Ni vipi unamwita STUPID mTz aliyeko kule kijijini kwetu GodeGode ambaye hata Smartphone hanaTanzanians are stupid no wonder they kill albinos.
These people were born that way. They didn't choose their body.
Why do Tanzanians here feel the need to vilify these people? Tanzanians..... SMH
Not all Tanzanians mkuu nomasana.... Ni vipi unamwita STUPID mTz aliyeko kule kijijini kwetu GodeGode ambaye hata Smartphone hana