Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
Tuongozeni kishinikiza serikali kutekeleza maazimio ya bunge na sio kuandamana kulipinga bunge.
Mpaka leo haujui ni kwanini hawezi kumwajibisha Hosea?
JK hawezi kufanya hivyo kwa sababu naye ni moja katika Baraza la Mawaziri ambaye tena yeye Ndiye Mwenyekiti wake, Hivyo kufanya hivyo ni kujihukumu mwenyewe, Watu na Watanzania tunashindwa kujua kuwa Rais ana sehemu katika mambo haya na ndio maana nasema kuwa katiba yetu ina matatizo makubwa sana, maana rais anahusika moja kwa moja kwenye mambo ya msingi kama haya je anaweza kujichukulia hatua yeye mwenyeweyaani "hawezi".. then sababu lazima iwe nzito.. tusaidie mkuu..