hili limekaa vizuri,kufuatana na serikali kuendelea kujishebedua na kusuasua juu ya hatma ya wanvyuo kushiriki uchaguzi mkuu,wanaharakati hao wameamua kuipa masaa 72 kinyumme na hapo ni kuwepo kwa maandamano ya amani kushinikiza hilo jambo,lets join this guyz,safari yetu ya uhuru wa kweli tunakaribia

Hao wanachuo ni wasomi kama wana akili nzuri yakufikiria nakuona mbali walitakiwa kuomba ufafanuzi mapema kutoka tume ya uchaguzi kuwa wao itakuwaje maana tarehe ya uchaguzi ilikuwa inajulikana mapema saana tu.asa wanangoja mambo hadi yaharibike ndio waje wajifanye wanataka haki ya kupiga kura?hao wanzuoni wamechemsha bora wakae kimya tuu.limeshapita hilooooooooo no soln zaidi yakutulia na kumgoja 2015.teh teh teh.
Nilishapanga kutojibu hoja zako kabisaaa. lakini kwa hili nakujibu kwa kusema thanx mkuu NOVAwe msanii unajua kiswahili kweli? maandamani ndiyo nini?..............je ukipewa jukumu la kuongea utaweza kujiexpress kwa maana humu tu unashindwa .
HII NI HAKI YA MUHIMU. DAFTARI LILIPOSAHIHISHWA WALIKUWA VYUONI. KURA WAKO NYUMBANI. TATIZO NI KWAMBA HATA WAKIWA NA NAULI YA KURUDI KUPIGA KURA BADO WATAHITAJI MALAZI WATAKAOPOTEZA HAKI YAO BADO NI WENGI SANA. HIVYO KUFUNGUA CHUO Ndiyo busara kwani hawatahitaji gharama za ziada. Laiti watu wangeandamana kudai tume huru ya UChaguzi. Isiyotokana na utezuzi wa chama cha mgombea yeyote.