Akiba Commercial Bank iliwauzia Mwaka jana National Bank of Malawi 75% ya hisa zake na hiyo transaction ilipata Baraka zote za BOT.
Kitu cha kushangaza ni jinsi wanahisa waliouza hisa zao wanavyopigwa danadana kulipwa fedha zao toka wakati huo zoezi hilo lilipokamilika.
Sasa sijui tatizo liko kwenye urasimu wa BOT kumalizia masuala madogo madogo au ni uzembe wa Management ya ACB?
Gavana wa BoT hana budi kuingilia hili suala kwani hata board mpya baada ya uuzaji wa hisa haijawa constituted!!