Ni nani mmiliki wa ACB?kuuliza sio ujinga
Kuna mama mmoja alikuwa mke wa Rais wa awamu fulani sio share holder mkubwa?Hivi Sasa majority shareholder ni NATIONAL BANK OF MALAWI.
Sio kweli mnamsingizia!!Kuna mama mmoja alikuwa mke wa Rais wa awamu fulani sio share holder mkubwa?
Hata kule Geita Gold mine alizingiziwa?Sio kweli mnamsingizia!!
Mambo ya Geita mimi siyajui, pengine muulize msukuma!Hata kule Geita Gold mine alizingiziwa?
Ile NGO ulikuwa inaitwaje tena?Mambo ya Geita mimi siyajui, yengine muulize msukuma!
WAMA!Ile NGO ulikuwa inaitwaje tena?
😏WAMA!
Mkurugenzi wa ttcl alikuwa mtoto wa nani?wakati ttcl inauza share kuanzishwa kWa celtel mobile ambayo sasa ni airtel share zilikuwa za nani?Ohoooo!!
Kama kuna mkataba wa mauziano ya hisa kwanini hawaendi mahakamani kuomba ACB kutekeleza majukumu yake katika mkataba huo?
Hivi bado ipo enzi zake kupata kazi mule mpaka uwe kabila pendwaIle NGO ulikuwa inaitwaje tena?
DuhMkurugenzi wa ttcl alikuwa mtoto wa nani?wakati ttcl inauza share kuanzishwa kWa celtel mobile ambayo sasa ni airtel share zilikuwa za nani?