JK Nyerere aliweza sana ku balance mambo, wakati huo viwanda vilikuwa kibao Urafiki, Bora cha viatu, n.K...alipokuja Mwinyi vingine akajimilikisha binafsi viwanda vilivyokuwa vya umma! ! , na alisomesha wanafunzi bure hadi chuo kikuu...hakuna hii matakataka inaitwa mkopo! Wanafunzi walisafiri bure wakienda ama wakitoka shule mikoani, alijenga Reli ya Tazara, thamani ya Tshs ilikuwa nzuri, deni la taifa lilikuwa dogo sana ukilinganisha na sasa!!
Tulikuwa na mgodi was almasi mwadui tu, lkn tulijikaza kiume lkn sasa migodi kila mahali, sijui gesi lkn nchi iko hoi!! Haina kitu zaidi ya kujaa bidhaa toka ughaibuni!!