njalau
Member
- Jan 18, 2014
- 62
- 12
Bila shaka humu jamvini kuna wabobevu wa historia na km hivyo ndivyo binafsi napata mkanganyiko sana hasa tunapozungumzia biashara ya watumwa yaani naona biashara hii inahusiana sana na afrika mashariki na kwa uchache magaribi, vpi kuhusu kusini na kaskazini?
Halafu hadi leo sijasikia masoko makubwa ya watumwa ukiacha ya afrika mashariki vp watumwa wote waliuzwa EA. Na km si hivyo masoko makubwa ya watumwa sehemu nyingine afrika ni wapi?
Mwisho hivi mda hasa biashara hii ilianza ni upi?