wanahitajika,graduate wa form 4 waende na docs zako manyanya 1st flo jengo lenye nbc kinondoni ofc z

wanahitajika,graduate wa form 4 waende na docs zako manyanya 1st flo jengo lenye nbc kinondoni ofc z

Ze Maza

Member
Joined
Nov 14, 2009
Posts
35
Reaction score
4
wanahitajika,graduate wa form 4 waende na docs zako manyanya 1st flo jengo lenye nbc kinondoni ofc za career development kuna kazi katk supermarket mpya ya uchumi ipo pugu road.
 
Hapo si ndo palikuwa na ofisi za deci?i hope sio deci nyingine.
 
wanahitajika,graduate wa form 4 waende na docs zako manyanya 1st flo jengo lenye nbc kinondoni ofc za career development kuna kazi katk supermarket mpya ya uchumi ipo pugu road.
<br />
<br />
supermarket ya uchumi??? Hapo cjaelewa!
 
Uchumi is the largest chain of supermarket in Kenya, as part of their growth strategies they decided to venture to Tanzanian market. Their 1st branch is to be at the new quality center mall along nyerere road.
 
Atawapata wa madrasa tupu!!
Acheni hizi...kuna watu wanahitaji kazi, acheni kukatisha watu tamaa. msipoenda wakenya wataleta wakenya wenzao kuwa ma cashier halafu mtaanza kulalama hapa
 
mbona unatoa taarifa juu juu weka hataa link watu wawe nauwakika...
 
wakipata faida wakaanza uwapate vizuri wajanja!!hili dili vipi riz kalichomoa ama yuko kwa jujuujuu
 
Ambao wapo interested waende kama hutaki acha kejeli currently they are recruiting pipo na sio ya kutembeza bidhaa nendeni pale supermarket then mtaona namaanisha nini kuna a lot of opportunities.......pple u have to change sio kila siku ni mzaha tu.kuna watu thy are seriousll looking for job waacheni waombe hakuna link ila nina connection na hr consultant mmoja namtafutiaga watu akinipa mchongo.
 
Ni jambo zuri, nashauri tupate feedback kwa ambao watakuwa wamefanikisha kufika hapo manyanya, ita hamasisha wengine walio kuwa na dought.
 
Back
Top Bottom