<br />Sio mbaya nilifikiri za kimachinga.
<br />wanahitajika,graduate wa form 4 waende na docs zako manyanya 1st flo jengo lenye nbc kinondoni ofc za career development kuna kazi katk supermarket mpya ya uchumi ipo pugu road.
Acheni hizi...kuna watu wanahitaji kazi, acheni kukatisha watu tamaa. msipoenda wakenya wataleta wakenya wenzao kuwa ma cashier halafu mtaanza kulalama hapaAtawapata wa madrasa tupu!!