Wanahitajika mabinti katika kampuni ya usafi mshahara Sh.150,000

kaani

New Member
Joined
Dec 4, 2020
Posts
1
Reaction score
2
Habari! Nahitaji mabinti wa kazi ktk kampuni ya usafi (Kaani Dry Cleaners)iliyopo Dar es salaam, mshahara wa kuanzia ni Sh.150000 kwa mwezi.

Umri usizidi miaka 35 pia kwa wale wenye vyeti vya food production (Certificate)and house keeping watakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchukuliwa.

Maombi yatumwe kwenye email hii kn6020@gmail.com ambatanisha wasifu wako na vyeti (CV)mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12/12/2020

Simu: 0763476020
 
Koma kutumikisha wanadamu wenzako. Mshahara wa 150,000/= kwa mwezi utatosha gharama za nauli, chakula, kodi, mavazi, simu, etc? Nakulaani na utakuwa masikini hadi kufa kwako!
 
150K kwa mwezi sio issue, ni kutaka awe na sifa za food production na house keeping kwa 150K.
 
Sio 150k ni 15k.

Yaani 15000 kwa mwezi ni sawa na 500 kwa siku.

Nauli ya kwenda na kurudi tu inabidi akope. Huu ni utumwa wa wazi kabisa.
 
Habari! Nahitaji mabinti wa kazi ktk kampuni ya usafi (Kaani Dry Cleaners)iliyopo Dar es salaam, mshahara wa kuanzia ni Sh.150000 kwa mwezi.

Umri usizidi miaka 35 pia kwa wale wenye vyeti vya food production (Certificate)and house keeping watakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchukuliwa.

Maombi yatumwe kwenye email hii kn6020@gmail.com ambatanisha wasifu wako na vyeti (CV)mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12/12/2020

Simu: 0763476020
Edit heading hizo figure hazileti maana
 
Sio 150k ni 15k.

Yaani 15000 kwa mwezi ni sawa na 500 kwa siku.

Nauli ya kwenda na kurudi tu inabidi akope. Huu ni utumwa wa wazi kabisa.
Soma kwa makini, ameweka 0 nne means ni 150,000/= ila yeye kaandika vibaya eti 15,0000
 
Kipindi cha Tarakimu mlikuwa wapi mbona tunatiana aibu hivi
 
Back
Top Bottom