Wanahitajika msimamizi wa call centre (nafasi 2) Dar-Es-Salaam

Wanahitajika msimamizi wa call centre (nafasi 2) Dar-Es-Salaam

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
107
Reaction score
65
Wadau jukwaa la KENYA natafuta WAKENYA 2 nafasi ya usimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo

1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi
2. Kuongoza timu ya upigaji simu kulingana na Utaratibu na malengo ya Taasisi
3. Kusimamia na kuongoza vikao vya kila siku vya asubuhi na mchana kuhusu mwenendo wa kazi
4. Kutoa ripoti ya SIKU, WIKI na MWEZI juu ya mwenendo wa upigaji simu

Sifa za Msimamizi tunayemtaka
1. Awe ana uwezo wa kusimamia na kuongoza timu kwa umakini na ukamilifu'
2. Awe ana uwezo wa kuwajibisha watendaji wazembe
3. Awe ana uzoefu wa kusimamia timu za Namna hii

Kituo cha kazi ni Kimara na Kigamboni DAR-ES-SALAAM TANZANIA
Kwa anayehitahi kazi hii wasiliana nasi kwa barua pepe thejoegrouptz@gmail.com ukitutumia nyaraka zako. Mwisho wa maombi ni Jumatatu tarehe 05/08
 
Back
Top Bottom