Habari za weekend Wana JF.
Wanahitajika Nursing officer watatu.
Awe amesoma chuo cha Bugando au Muhimbili.
Tuma CV yako Kwa adamsfaida@gmail.com
WhatsApp +255620461297
Nina mwamba Mmoja ..... NO graduate wa muhas GPA sijui 4 point ngapi huko hapo advance alikunja one nzuri tu enzi zileee ....yupo RUKWA huko amejikatia Tamaa hata ya kuajiriwa.