Wanahitajika Sales Agents haraka.

Wanahitajika Sales Agents haraka.

edwardy

New Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
1
Reaction score
0
Kampuni mpya ya matangazo ( advertizing) inahitaji Direct Sales Agents wa kutafuta matangazo kwa ajili ya gazeti lao.

wawe na ujuzi na uzoefu wa kutosha katika kuuza bidhaa za habari ( advertisements)

Piga simu zifuatazo kupangiwa tarehe ya usaili( interview)
0756 737357,
0786 510127
0713415598
au tuma e-mail kwa: manunuzi@gmail.com
 
Mbona Kampuni Haina Jina ? Historia Fupi Ya Kampuni ? Iko Wapi ?? Anuani Kamili ?
 
Ukiona hawataki kusema lolote......ujue ni XX marketing haoo maana wanakuita na kukupa interview kesho yake unaambiwa ukaanze kazi ukienda weeeeee................machingazz style
 
Back
Top Bottom