InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,183
Vizuri...ila inabidi uongezee siku nyingine iwe kama ni nyama wote mle nyama na kama ni pilau samaki wote mle pilau samaki...msiishie kula pamoja dagaa na maharage,maisha ni haya haya tu.Well said invisible, watu wanapokuwa na negative attitude kwa kila kitu ni tatizo kubwa sana, mimi vijana wote niliowahi kufanya nao kazi huwa tunakula meza moja, kama ni dagaa basi wote tutakula dagaa, kama ni maharage wote tunakula maharage,hivyo yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri...ila inabidi uongezee siku nyingine iwe kama ni nyama wote mle nyama na kama ni pilau samaki wote mle pilau samaki...msiishie kula pamoja dagaa na maharage,maisha ni haya haya tu.
πππsummary yako ilinishtua kidogo mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni summary tu, maana yake ni pamoja na nyama, samaki, maini, njegere, njugumawe, kisamvu, senene n.k!
Mbona ni kama unadandia Gari kwa mbele?.Hapo anasubiri awajaze madogo wote wanne chumba kimoja chenye magodoro yaliyolika, na kuwalisha ugali kila siku na kuwatumikisha bila kuangalia upande wao na kujali maslahi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] This country bwanaNdiyo mkuu, I have been training for such jobs my whole life.
Plus, I am really down bad right now.
I need to pay my bills.
kuna mwana alisem kazi ya ulinzi haitak anataka kazi ambayo atajifunza kitu kipya kila siku nikamjibu kazi ya ulinzi utajifunza vitu vingi sana ndani ya siku moja sehemu unayolinda pakiibiwa vitu na wewe haujaumia hata kidogoKweli life lina bana
Acha nikomae na ulinzi wangu wakufungua ma geti.
Ngoja askizie mchongokuna mwana alisem kazi ya ulinzi haitak anataka kazi ambayo atajifunza kitu kipya kila siku nikamjibu kazi ya ulinzi utajifunza vitu vingi sana ndani ya siku moja sehemu unayolinda pakiibiwa vitu na wewe haujaumia hata kk