Mkuu nipo hapa, natoa home tuition service, including mitaala ya nje. ila ni Mathematics tu.Wakuu wasaalaam !
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge.
Kwa yeyote aliye na ujuzi wa kufundisha hayo masomo kwa mtaala wa Cambridge ana PM ili nimuunganishe na Mzazi wa huyo Mwanafunzi.
Mzazi wa Mwanafunzi ni Mwarabu anaishi Upanga Jijini Dar es Salaam na Mwanafunzi anaishi Germany na wakati mwingine huwa anaenda Oman.
Ufundishaji utakuwa ni kwa njia ya mtandao. Kama una ujuzi wa mitaala ya Cambridge kwa masomo hayo (Mathematics na Economics) Ni cheki PM.
NB: Sio ajira ili ni kazi ya muda mfupi na makubaliano yatafanyika kati yako wewe Mwalimu na Mzazi wa huyo Mwanafunzi.
Changamkieni dili Hilo ni njia nyingine ya kupata connection kwa mambo mengine.
Nawasilisha.
Yeah, Mathematics level zote mpaka chuo.Okay Mkuu Advanced Mathematics?
Kama ni hivyo ni PM na Namba yako ili kesho nimtumie Mzazi wa mwanafunzi
Mkuu , naona wewe ni mbobezi mwenzangu wa namba. Si ufungue Uzi rasmi wa maths challenge tuwe tunatupiapo maswali hapo na kufanya solving?Yeah, Mathematics level zote mpaka chuo.
Na mm nipo hapa naunga mkonoMkuu , naona wewe ni mbobezi mwenzangu wa namba. Si ufungue Uzi rasmi wa maths challenge tuwe tunatupiapo maswali hapo na kufanya solving?
fanya hili hapa.....Mkuu , naona wewe ni mbobezi mwenzangu wa namba. Si ufungue Uzi rasmi wa maths challenge tuwe tunatupiapo maswali hapo na kufanya solving?
Uzi mbona upo mkuu, jukwaa la elimu huko.Mkuu , naona wewe ni mbobezi mwenzangu wa namba. Si ufungue Uzi rasmi wa maths challenge tuwe tunatupiapo maswali hapo na kufanya solving?
Nipo hapa upande wa economicsWakuu wasaalaam !