Wanahitajika wafanyakazi Beauty/Hair Saloon za wanawake

Wanahitajika wafanyakazi Beauty/Hair Saloon za wanawake

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
521
Reaction score
88
Kama wewe ni msichana (umri chini ya 35), umesomea fani hii, na upo tayari kufanya kazi nje ya nchi, Middle East
Tengeneza CV na passport.
Halafu niiandikie message (usipige simu tafadhali) +255 767 999 345
Nami nitakupigia simu tupange kuhusu mahojiano (interview)
 
Back
Top Bottom