Wanahitajika wahudumu wa Bar, na wafanya usafi

Wanahitajika wahudumu wa Bar, na wafanya usafi

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Habari Jf?

Latino Hall Bar iliyoko Tabata paloma Inatafuta wafanyakazi
-Meneja wa bar
-Wahudumu wa vinywaji
-Wafanya usafi
-Mlinzi

Tafadhali wasilisha barua yako ya maombi kabla ya 26/10/2020

Usaili utafanyika tarehe 26 saa tano asubuhi.

Kwa mawasiliano zaidi 0747850270
 
Wahudumu wa jikoni vipi kuna mdada anataka nafasi hiyo
 
Mmefukuza meneja, wahudumu (vinywaji na jokoni). ,,walinzi ama Ni chimbo jipya ?
 
Back
Top Bottom