Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 23, 2020 #1 Habari Jf? Latino Hall Bar iliyoko Tabata paloma Inatafuta wafanyakazi -Meneja wa bar -Wahudumu wa vinywaji -Wafanya usafi -Mlinzi Tafadhali wasilisha barua yako ya maombi kabla ya 26/10/2020 Usaili utafanyika tarehe 26 saa tano asubuhi. Kwa mawasiliano zaidi 0747850270
Habari Jf? Latino Hall Bar iliyoko Tabata paloma Inatafuta wafanyakazi -Meneja wa bar -Wahudumu wa vinywaji -Wafanya usafi -Mlinzi Tafadhali wasilisha barua yako ya maombi kabla ya 26/10/2020 Usaili utafanyika tarehe 26 saa tano asubuhi. Kwa mawasiliano zaidi 0747850270
Johnny Sins JF-Expert Member Joined Nov 4, 2019 Posts 2,537 Reaction score 3,873 Nov 2, 2020 #2 Wameshapatikana?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 3, 2020 #3 Ngoja waje... Cc: mahondaw
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Nov 3, 2020 #4 Wahudumu wa jikoni vipi kuna mdada anataka nafasi hiyo
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Nov 4, 2020 Thread starter #5 EINSTEIN112 said: wahudumu wa jikoni vipi kuna mdada anataka nafasi hiyo Click to expand... Mwambie aje tu
EINSTEIN112 said: wahudumu wa jikoni vipi kuna mdada anataka nafasi hiyo Click to expand... Mwambie aje tu
A teller JF-Expert Member Joined Feb 6, 2018 Posts 523 Reaction score 715 Nov 5, 2020 #6 Umeneja jee?
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 3,607 Reaction score 9,430 Nov 5, 2020 #7 Mmefukuza meneja, wahudumu (vinywaji na jokoni). ,,walinzi ama Ni chimbo jipya ?