mmekutravella
Senior Member
- Apr 16, 2013
- 100
- 33
We unajua kibosho tu bro???maana wa huku ukisema kirima sijui manushi watashangaa pia...nkida mnama
Hamchelewi nyie, njoo na laki ya kumpoza meneja
Sent Using Kitochi
Pub inaitwaje mkuu? Na huduma ya malazi ni humohumo pub ni lodge!!?Tunatafuta wahudumu kwaajili ya Pub yetu iliyopo wilaya ya Nkasi mjini Namanyere wanaotakiwa ni wasichana wasiozidi umri wa miaka 30 tunatoa huduma ya chakula na malazi kwa Wahudumu wetu! Kwa maswali pia maelezo zaidi unaweza piga no 0767350415
Sent using Jamii Forums mobile app
Pub inaitwaje mkuu? Na huduma ya malazi ni humohumo pub ni lodge!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawaInaitwa Pantaleo!! Sio lodge its just a a bar!! Ila tunatoa accommodation kwa Wahudumu wetu!!
Sent using Jamii Forums mobile app