Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Hallo wana JF.
Natumain kila Mmoja wetu anatambua Nguvu iliyopo pale watu wanapoamua kuungana na kuwa kitu kimoja. Kwani kunakuwa na faida ndani yake. Moja ya faida kubwa ni Mawozo(Ideas) hatA kwenye field ya Engineers huwa wanafanikiwa pale wanapokaa na kila Mmoja akaweka Idea yake nn cha kufanya ili project iweze kukamilika.
Nami nataka kuunda Team ya Watu 10 yenye Mtaji wa 20M kwa kila Memba, then tutaweka Strategies zetu pamoja nini cha kufanya ili tuweze ku-multiply our initial Capital to higher Level.
Nikiwa kwenye huu Mchakato, Nnaomba Mawazo yenu kuhusiana na Pros and Cons ambazo tunaweza kukumbana nazo wakati tukiwa kwenye harakati za kukuza Mtaji Wetu. Je ni Idea nzuri kuweka Mitaji yetu Pamoja na tukaweza kufanikiwa kimaisha!??
Tafadhali, Nnaomba mchango wako wa hali na Mali kuhusiana na hili. Pia kama uko willing kuwa PARTY OF THIS, Just PM Me. Bila kusahau. Moja ya Kigezo lazima uwe na Initial Capital ya 20M.
Thanks.