Nchi hii ni ya watu wa ajabu kweli kweli. Sisi viongozi tunaona fahari kusifiwa. Ni hatari sana kupenda kusifiwa. Hapo ndipo watu wanapoiba mabilioni mengi ili kukwepa mkono wa sheria wanalala kwenye matope wakimsifu Mama. Hii ndo Nchi yetu ilipofika kwa sasa.