Wanaiba mabilioni kisha wanakwenda kugala gala kwenye matope wakimsifu Mama

Umeanza nongwa wewe!
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-065957.jpg
    378.1 KB · Views: 2
In politics, truth is optional
 
Hata wewe mkuu ungegalagala unaiba bilioni 10 hukamatwi lakini kuna VEO amekula mchango wa elfu 20 anafungwa, kwanini usilale kwenye matope? ukitoka hapo unapata V8 full tank unaenda na mpenzi wako kuoga five star hotel kwa pesa za wajinga
 
Kama wameiba inabidi wapelekwe mahakamani.
 
wanaiba wakati wewe umekodoa mimacho kama zuzu, right? au ulidhani ni movie?

useless and completely nonsense kabisa πŸ’
 
Na ukichukulia Eti Wazee wanaotegemewa kwa Hekima na Busara waliobakia na wanaopewa upendeleo maalum mmoja ndio anaonekana anaaminiwa zaidi ambaye muda sio mrefu uliopita alipotea kabisa au kupotezwa kabisa kwenye medani za siasa za Nchi πŸ˜³πŸ™„ !

Duh πŸ™„ ! Waswahili Wanasemaga Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni au Farao !

Ngoja Tusubiri tuone ! Sisi wengine tulishajeruhiwa moyoni na awamu ile ya yule mstaafu !!
 
K
wanaiba wakati wewe umekodoa mimacho kama zuzu, right? au ulidhani ni movie?

useless and completely nonsense kabisa πŸ’
Kwani nani awezaye kumfunga paka kengele Gentleman ???!!

Mitaala ya Elimu ya China πŸ‡¨πŸ‡³ itabidi na sisi tuiingize kwenye mitaala yetu Polepole ili nasi tuweze kuwa na Uzalendo wa Lazima kama walivyo wenzetu huko Beijing na Gwangzou !

Hapo ndipo hatutobaki tunawakodolea mimacho yale majizi yanayo kwapua Pesa za Nchi yetu !
Bali yatakuwa yanashughulikiwa kama huko kwa Mao Tse Dong , gentlemen !

Au nasema uongo ndugu zangunii ???!!
 
Pata Picha sasa huyu ni ndugu yako.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…