Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

NIMEPENDA hii apa

[ @ ] genovan dimondplatinumz u shud get personal
designer…..that outfit…i
kno u copy t 4m ur role
model…..she was
looking gud tho in those
pictures she took when she landed 4m
China..unlike u…….u
absolutely looks like
joker.
 
Na wanaijeria wanavyojua kuvaa...watamuona alikuwa na nia ya kuharibu harusi ya mwenzie...hawamuelewi kabisa
 
Diamond!

I can just understand what the guy is doing! Wabongo tuliijua hii safari yake mapema, hatujacomment chochote kwa sababu ni ya kimafanikio, hatuoni kama dogo anaupeleka muziki wetu kimataifa, watu wa nje wanamjua Diamond kimziki kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania kwa sasa, soon atafunica East Africa.

Dogo hajasoma kabisa, lakini hatua aliyoipiga wasomi wenye PHD na vyeti vingi wengi hatuwezi dare kufanya kitu kikajulikana kitaifa, achilia kimataifa; tunaishia kuponda mafanikio ya wanaojaribu. Leo hii Diamond Form 4 failure anaweza kukaa meza moja na the Richest Musicians in Africa lakini bado hatuappreciate, tunasubiri akosee ndio tuongee. Mavazi kitu gani bwana, mbona hivi vitu vinarekebishika tu.

Diamond namkubali sana, hata kiinglishi alichapia sana tukamcheka, lakini taratibu anaendelea kukinyosha na kukata mawimbi. Atafika mbali kwa sababu anazichukulia hizi kama changamoto tu, most probably kama sio kukosea kuvaa kuna watu tusingejua kama dogo yuko na P Square, tungejuaje sasa wakati mafanikio hayawi posted isipokuwa makosa. labda alikosea makusudi kwa sababu anatufahamu tabia zetu.

Baada ya Kanumba kwenye Filamu, namwona mtu mwengine mwenye jitihada zaidi za kufanya vitu kimataifa zaidi, AY anajaribu jaribu lakini nafikiri majukumu yanambana.

Big Up Diamond Platnumz
 
Reactions: Sal
utapo comment post hii tutumie picha na wewe mwenyewe umevaaje hapo
 

frankly speaking dogo kaniangusha linapoluja suala la "outfit", mwanaume kuvaa suruali "don't touch" halafu inabana ktk tukio la Harusi kama lile, he looks so feminine, kwa exposure aliyonayo nilitegemea ana mtalaamu wake wa mavazi.
 
Last edited by a moderator:
Na wanaijeria wanavyojua kuvaa...watamuona alikuwa na nia ya kuharibu harusi ya mwenzie...hawamuelewi kabisa

mie nimependa maana naona amefanikiwa kuvuta attention ya wanaigeria kwa kiasi chake.
 
dogo kauza jina. wangediscuss nini kama asingevaa hicho kipedo.??
 
vidato navyo vinachangia jamani, msimseme sana, shuleeeeee mgogoro.....
 

Unajua kuna akili za ajabu sana yan mtu kukaa na mtu ndo maendele na kuimba upuuzi natakakulewa na ufahamu wa kumlinganisha na mtu wa phd unajua nyie vijana mliomezwa na fb kwenye mambo ya kipumbavu na kihun kama karne za nyuma vijana wangekuwa kama nyie maendeleo yangekuwa ndoto kitu mnachotaka
Ni kupewa attention na recognition kwa mambo ya kipuuzi

Ni akili za funza mwafrika kutaka publicity ya Hollywood wale wameendelea sana we badala upambane na umasikini unaotafuna familia yako na taifa unataka uishi kama mmarekani.
 

Ungetumia nguvu hizi ulizotumia kunijibu kwenye kutafakari nini nimeandika labda ungenielewa.

Diamond ni Mwanamuziki, kina P Square ni wanamuziki, vipi akikaa nao halafu akagusia swala la kufanya colabo na wakakubali unaonaje?

Diamond unamwita mpuuzi, show moja analipwa zaidi ya M 8, ana matangazo na Voda na Coca Cola! Unajua analipwa ngapi? Tutakalia majungu tu.
 
Mimi Diamond namkubali sana...kwangu ni number one Tanzania...

Na hata kualikwa na kina P Square ni bonge la achievement kwani nani mwingine Tz kaalikwa?

Tatizo pedo...labda tutumie argument ya Husnino kuwa hiyo ilikuwa ni calculation ya kupata cheap popularity toka kwa wanaijeria maana amekuwa gumzo...na labda ndio lilikuwa lengo...bila hivyo wala asingekuwa discussed kwani harusi ilikuwa na watu wengi maarufu...


 
Jana katika mahojiano na EATV, P-square waliulizwa kuhusu mavazi ya diamond. Wakashangaa diamond ni nani na kusema hawajui kama alikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…