Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria

Kazi ya demu wake hiyo, namshauri Lupita akitaka kumuowa aje afungie ndoa Ngorongoro crater
 
Big names in the literal world, like Chimamanda Adichie go with big names in the acting sphere, like Lupita Nyong'o. Yaani walitegemea wale waigizaji wao na yale mawigi yao na makelelee waigize kwenye filamu ya Americanah, ambayo itakuwa ni production ya Hollywood? No way!
 
Wale wanaishia IROKO channel
 
Big names in the literal world, like Chimamanda Adichie go with big names in the acting sphere, like Lupita Nyong'o. Yaani walitegemea wale waigizaji wao na yale mawigi yao na makelelee waigize kwenye filamu ya Americanah, ambayo itakuwa ni production ya Hollywood? No way!

Stop hating mzee! I believe mbali na Lupita Nyong'o kwenye tasnia nzima ya burudani Nigeria wako mbele sana kuliko Kenya.
 
IMG_20190915_152043_313.jpg
 
Stop hating mzee! I believe mbali na Lupita Nyong'o kwenye tasnia nzima ya burudani Nigeria wako mbele sana kuliko Kenya.
Boss, hamna cha chuki wala nini Lupita Nyong'o
deserves that spot, thats a fact. Kama wametuzidi, sisi wakenya, kwenye burudani kwa ujumla ni sawa. Kwenye filamu, labda kwa wingi ila sio quality. Mwaka uliopita tuliwafunika kweli kweli kule kwao Lagos, kwenye tuzo za kila mwaka za filamu bora Afrika, AMVCA. Best actress(Nyce Wanjeri), Best overall movie in Africa(18Hours), Best indeginous language movie in Africa(Supa Modo) ambayo ilikuwa ya kiswahili. Best movie in E.Africa(18Hours), Best picture editing, zote hizo zilikuwa kutoka Kenya.
 
😁😁😁 Hivi Kenya kumbe mna movie industry?
 
Wanahoji ina maana Nigeria yote hakuna mmoja wao anayeigiza kama wao hadi atafutwe Mkenya...

She is an actress, kuigiza maana yake ni kuvaa uhusika ambao sio wako. Sasa shida ni gani.?
 
Boss, hamna cha chuki wala nini Lupita Nyong'o
deserves that spot, thats a fact. Kama wametuzidi, sisi wakenya, kwenye burudani kwa ujumla ni sawa. Kwenye filamu, labda kwa wingi ila sio quality. Mwaka uliopita tuliwafunika kweli kweli kule kwao Lagos, kwenye tuzo za kila mwaka za filamu bora Afrika, AMVCA. Best actress(Nyce Wanjeri), Best overall movie in Africa(18Hours), Best indeginous language movie in Africa(Supa Modo) ambayo ilikuwa ya kiswahili. Best movie in E.Africa(18Hours), Best picture editing, zote hizo zilikuwa kutoka Kenya.
Sawa mkuu, lakini binafsi sikuona umuhimu wowote wa kuwakashifu hao wanawake wa kinaija kwamba wanapiga makelele na kuvaa mawigi kisa tu unataka kufikisha ujumbe kwamba Lupita ni mwigizaji bora kuliko wao.

Halafu mkuu, kupata hizo TUZO chache hakutufanyi wakenya na watanzania kuwa sawa na wanaija kwenye tasnia nzima ya burudani, hapa barani Afrika. Inatubidi tukaze buti na tuachane na haya majungu yasiyo na msingi.

NB: Hata hivyo LUPITA ni Mkenya lakini ametokea kupitia Hollywood na siyo Kenyan Movie Industry: Hili tu linapasa kufikirisha.
 
Dah! Hiyo signature yako ni ujumbe kuntu kama jamii tungezingatia...eti Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence.
 
Back
Top Bottom