Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria

Sijui, ila najua kwamba ni hela ndefu, hapo hamna ubishi. Kwa wingi wa filamu na hela wanazoingizia Nigeria, nawapa tick. Ila kwa ubora(quality) hawapo kabisa. Sio kwenye script zao, storylines, production on na off studio na directing pia.
Mkuu, huo ubora unalinganisha na nani labda ??? Maana kama ni Hollywood basi nadhani utakuwa huwatendei haki wanaija!
 
Last two weeks nilienda home, kulikuwa na professional conference. Kusema ule ukweli, jamaa wa west Afrika wako mbele kiasi fulani ukilinganisha na pande zingine za Afrika.
Kama ulivyosema, jamaa wako mbali sana.
Mkuu, naijeria kwenye ulimwengu wa burudani wametuacha mbali sana na hili lazima tukiri tu bila kuleta utaifa usio na msingi.
 
Mkuu, huo ubora unalinganisha na nani labda ??? Maana kama ni Hollywood basi nadhani utakuwa huwatendei haki wanaija!
Nawalinganisha sanasana na S.Africa, kwa maoni yangu, wao ndio huwa wanachomoa filamu bora kabisa Afrika. Filamu zenye ubora wa hali juu zaidi ya za
Kenya kwa mbali. Original everything na on point, kwenye scripts, casts, acting, directing na production.
 
Ni dhambi kuwa mmoja? Mwili ukikataa wanaume umekataa. You can't force.....

Mwili utakataaje chuma chenyewe, huwa siwaelewi lesbos, haja gani ya kutumia dildos ilhali mitaimbo ipo yenyewe iliyoumbiwa hiyo kazi.
Ningewaelewa wale hufanya threesome, yaani wanamualika mwanaume wanafanya wote, mwisho wa siku wanakua shafted na kitu cha kweli.
 
Not sure why Ogas are mad at her...They should be happy a Nigerian story by a Nigerian author is receiving world acclaim and Hollywood acknowledgement...Were South Africans mad/angry when Morgan Freeman portrayed Madiba? Kwa kweli Waafrika hatupendani smdh...
 

Wamesahau Lion King.
 
Huyo jamaa nilimuona kwenye Into the badlands as Baron. Didn’t know he is also Kenyan.
He is na ame act mpakaTwilight. There is this Tanzanian, Kucian Msamati who acted as Salladhor Saan, pirate fulani hapo kwa GoT
 
He is na ame act mpakaTwilight. There is this Tanzanian, Kucian Msamati who acted as Salladhor Saan, pirate fulani hapo kwa GoT

Haiya Salladhor Saan ni Mtz
 
Mkuu, naijeria kwenye ulimwengu wa burudani wametuacha mbali sana na hili lazima tukiri tu bila kuleta utaifa usio na msingi.

Siyo kwenye burudani tu, hata other professions wako mbele. Wakifuatiwa na southern Afrika. East Afrika tunahitaji kufanya kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…