Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria

Hahahah jifunzeni pia ustaarabu, ban kitu cha kawaida sana maana hakipunguzi kitu wala kuongeza chochote brathee,
Lete dharau unapewa moja kubwa.
Naona umeamka baada ya ban, natumai umejifunza kitu, ustaarabu ni jambo la maana, matusi hayajengi, hilo tusi ulimtukana Janerose mzalendo lilikugharimu.
Humu tunakuja kujibizana kwa hoja, lakini hatuchukiani....nothing personal.
 
Hahahah jifunzeni pia ustaarabu, ban kitu cha kawaida sana maana hakipunguzi kitu wala kuongeza chochote brathee,
Lete dharau unapewa moja kubwa.
Ulipewa ban ya siku ngapi ndugu? Mbona mimi huwa natusi watu na sijawahi pewa ban.
 
Ya siku 3 tu,
Na hata sikutukana tusi kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Haha ni tusi gani hilo hata mimi nijaribu kumrushia mtu nione kama nitapigwa ban kwani tusi zangu hazipigwi ban.
 
Ni hawajakuona bado au huwa Unatumia tafsida [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha ni tusi gani hilo hata mimi nijaribu kumrushia mtu nione kama nitapigwa ban kwani tusi zangu hazipigwi ban.
 
Ni hawajakuona bado au huwa Unatumia tafsida [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetukana akina joto la chizi na Mkikuyu akili punguani lakini sijawahi pewa ban. Kama waogopa basi niambie thread lenyewe ni gani niende kulitafuta.
 
Americanah into a movie?
I can't wait to see how well will they adapt from the novel.
Into a Tv series, with ten episodes. It will be a hit because of Lupita Nyongo's acting, offcourse.
 
Hayo yako sio matusi hata [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu alicomment ushuzi ikabidi keyboard ifanye kazi yake,
Mod walifuta.
Nimetukana akina joto la chizi na Mkikuyu akili punguani lakini sijawahi pewa ban. Kama waogopa basi niambie thread lenyewe ni gani niende kulitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…