chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Wanaijeria wengi wana akili zinafanana wanapo fanikiwa kupata pesa za udanganyifu kwa njia ya mtandao ujikuta kutamba kwenye mitandao ya kijamii, kuonesha magari, pesa, nyumba,matumizi na n.k.
Huku wengi wakijigamba kama influencer, watafutaji wasiochoka.
Huko nijeria wanakamatwa kama kuku walivo kuwa wajinga na wale ma komedia wa najeria wengi ni matapeli.
Kwa hapa Bongo Watanzania wanao jiita wasanii jinsia ya kike ni wauza mbususu gredi ya transformer mpya kubwa inayofungwa kibaha.