Saiga yane
New Member
- Aug 21, 2016
- 3
- 0
Dah, safi sana mkuu1.Kuku asiye na manyoya shingoni anaitwa MANGISI
2.Asiyetaga huitwa KIWETO
3.Jike huita TEMBE
4.Bata dume GEGEDU
5.Ng'ombe asiye na mapembe GUNEGUNE
Kuku mwenye manyoya yaliyosimama nimemsahau nikikumbuka ntarudi jamvini kukujuza.
... ndio asili ya neno la mtaani gegeda? Maana mabata kwa kugegedana yako vizuri haswa asubuhi yanapofunguliwa na jioni yakirudi mabandani yanaweza kukutia aibu kama uko na mkwe!1. Kuku asiye na manyoya shingoni anaitwa MANGISI
2. Asiyetaga huitwa KIWETO
3.Jike huita TEMBE
4. Bata dume GEGEDU
5. Ng'ombe asiye na mapembe GUNEGUNE
Kuku mwenye manyoya yaliyosimama nimemsahau nikikumbuka ntarudi jamvini kukujuza.