WANAITWAJE HAWA KWA KISWAHILI FASAHA?

WANAITWAJE HAWA KWA KISWAHILI FASAHA?

akyo

Member
Joined
May 6, 2017
Posts
38
Reaction score
25
Tusaidiane kuna baadhi ya maneno yamekuwa na mkanganyiko,Wataalam wa Kiswahili tunaomba mtusaidie jinsi tunavyowaita watu hawa:

1.Mtoto wako anamwitaje Bibi yako?

Watu wengi wamekuwa wakisema mtoto wako anamwita bibi yako mama mkubwa .Je ni sahihi?.
Kama sio sahihi anaitwaje?.

2.Je bibi yako naye atamwitaje mwanao? Je atamwita nyanya?au kuna neno lingine.?

3.Mme wa shangazi yako anaitwaje?
Je anaitwa mjomba au kuna neno sahihi la Kiswahili.?

4.Mama yako anamwitaje mama wa mkeo (mama mkwe) kwa Kiswahili?.
Kwa baadhi ya makabila hawa wanaitana Kayemba.

5.Mnaitanaje na mtu mliyeoa familia moja.Yaan yeye kaoa dada/mdogo wa mkeo? Kwa baadhi ya makabila hawa wanaitana ndosa.Je lipi neno sahihi la Kiswahili?.

Ikiwezekana mtu atujibu kutokana na maelezo ya kwenye Kamusi. Ili tusiwe na walakin.
 
Najua jiwe ni self declared kichaa hayo mengine subiri wajuzi waje
 
1. Nyanya
 
2. Vitukuu
3...........
4...........
5...........
 
2. Kitukuu
3. Mjomba
5. Mwanyumba

Wakwe kwa wakwe wanaitana MAVYAA
 
1 nyanya
2 kitukuu
3 baba Shangazi
4 dada
5 kaka
 
Back
Top Bottom