Wanajamii naomba mnipatie matokeo ya mtihani wa maarifa(qt) 2008

horace

Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
49
Reaction score
7
tafadhali wadau wa jf, kwa yeyote mwenye hayo matokeo anipatie
 
Unataka uyatumiaje maana unauliza vya Baraza la mitihani hivyo wewe unaombea hapa jukwaani...Alafu si kuna jukwaa la Elimu au wewe hata mgeni hapa jamvini...Ila mimi sina wapo wenye nayo ngoja tusikilize utawaona wanakuja na data kale vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…