Wanajamii, ukaribisho wa member mpya

Wanajamii, ukaribisho wa member mpya

Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana kinyongamweupe mwendo ni ule ule wa pole usije badili
 
Napenda kumchukua fursa hii kujitambukisha kwenu Wanajamii kwamba nami nimejiunga katika jukwaa hili kubwa la maarifa, elimu na kifikra.
Karibu sana mkuu jisikie huru ila kama una stress za maisha hapa kuna vijana hovyo hawakawii kukupa za uso wakaongeza stress ila hekima na busara na elimu ndio kisimani!
 
Back
Top Bottom