Point.humu wengi wamejaa utoto.jamii forum ilikuwa zamani.1. Great thinkers wana free mind
2. GT hawaogopi new idea
3. GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally
4. GT are contextual based analyst
5. GT seeks to understand first others people’s point of view.
6. They are rational not emotional
View attachment 3454173
Kwa upande mwengine
Great followers ambao ndio wengi hapa jukwaani
1. Kile wanachokiamini ndio hicho hicho, no room for a new idea
2. wanachangia kwa kusoma heading tu,
3. wanachangia kwa kuangalia muanzisha mada na si mada ilioanzishwa
4. wanachangia kwa kuangalia comments za mwanzoni
5. hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri, kwao ni shida.
6. in short, they don’t take things not engage their mind at all.
Yote hiyo unaonesha kua, wengi ni kama wako in autopilot mode, kuna baadhi wamesave reply zao kabisa, chochote ukipost, wanatuma picha zao.
View attachment 3454171
Mi binafsi siogopi new idea, naweza hudhuria hata kongamano la dini nyingine, hata controversial group kama lgbtq, naweza kwenda kwenye kikao chao. The idea is to understand the motives behind people actions, and that is great.
Ukiwa na watoto lazima uwe mtoto.Point.humu wengi wamejaa utoto.jamii forum ilikuwa zamani.
Mdogo mdogo utasema tu.....Mi binafsi siogopi new idea, naweza hudhuria hata kongamano la dini nyingine, hata controversial group kama lgbtq, naweza kwenda kwenye kikao chao.
1. Great thinkers wana free mind
2. GT hawaogopi new idea
3. GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally
4. GT are contextual based analyst
5. GT seeks to understand first others people’s point of view.
6. They are rational not emotional
View attachment 3454173
Kwa upande mwengine
Great followers ambao ndio wengi hapa jukwaani
1. Kile wanachokiamini ndio hicho hicho, no room for a new idea
2. wanachangia kwa kusoma heading tu,
3. wanachangia kwa kuangalia muanzisha mada na si mada ilioanzishwa
4. wanachangia kwa kuangalia comments za mwanzoni
5. hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri, kwao ni shida.
6. in short, they don’t take things not engage their mind at all.
Yote hiyo unaonesha kua, wengi ni kama wako in autopilot mode, kuna baadhi wamesave reply zao kabisa, chochote ukipost, wanatuma picha zao.
View attachment 3454171
Mi binafsi siogopi new idea, naweza hudhuria hata kongamano la dini nyingine, hata controversial group kama lgbtq, naweza kwenda kwenye kikao chao. The idea is to understand the motives behind people actions, and that is great.
Great thinker 🤐hata controversial group kama lgbtq,
5. hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri, kwao ni shida.
Oyaaa jombiz taratibu. Ngojea nimalize shughul flan hapa, sidhani utaingia tena jamvini.
Hili ndio lengo kuu la huu Uzi wako,5. hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri,kwao ni shida.