WanaJamiiForums wafuatao, nawatakia mema 2016

Mbona unaendeleza siasa mpaka ktk slm mkuu ndio sie tulishinda nawe kubali kushindwa mkuu tujenge nchi hapa kazi tu
 
kwahiyo wengine unawatakia mabaya au? hebu weka vizuri kabla na sisi hatujaungana maana uliowataja ni wachache kuliko sisi ambao umetuach
sio mkuu muda haukuniruhusu kuandika majina yote,hata hivyo naomba msamaha kwa wale wote wana JF ambao sikuandika majina yao kupitia kwako, nawatakia kheri ya mwaka mpya
 
sio mkuu muda haukuniruhusu kuandika majina yote,hata hivyo naomba msamaha kwa wale wote wana JF ambao sikuandika majina yao kupitia kwako, nawatakia kheri ya mwaka mpya
Tuandike basi tenakwa herufi kubwa ili twende sawa
 
Mkuu gogo la shamba na member wengine wote. Tushukuru kwa kila jambo na tujitahidi kuhimiza katiba mpya ambayo itakuwa chanzo cha mabadiliko.HAPPY HOLIDAY GUYS.
 
Je, huu uandishi wako na mpangilio wa maneno umejifunzia kwao?
 
Asante sana mkuu,nashukuru nami nakutakia kheri na fanaka pia.
Nashukuru kwa kunitaja mwanzoni maana endapo ungenichanganya huko kati hakika nisingeona kwa jinsi ulivyoandika.

@nifah, umeshatoka Rombo?
 
Asante xana mkuu nimesikia smani kwa kuwa tunapolumbana humu bado tunapendana na kutakiana kheri.Mungu awe nawe.
 
Mkuu @gogolashamba, ahsante sana kwa kunitakia mwaka wenye heri fanaka na mema yote. Nami naomba Mungu akupe kama ulivyonitakiwa na kuzidi pia. Ninachukua nafasi hii pia kuwatakia mema yote wale uliotutumia salaam hizi. Mungu akubariki, akutunze, akufanikishe na muda wote akushindie wakati wa magumu wewe na familia yako, na wale wote wenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania.
 
haya majina yaliyotajwa hapa yote yanatokea mtaa wa Ufipa pale kinondoni kasoro kidogo kwa Christine... Nategemea Lizaboni au mkuu Jingalao atakuja hapa kutuwekea nasi katika upande mtambuka
 
Harufu kama ya CCM kisiwandui

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…