WanaJamiiForums wafuatao, nawatakia mema 2016

Kuna watu wengne wakikutakia heri ya mwaka lazima urudi shamba .
 
Kawataja wanavikoba wenzake, ndo mshakumbushwa hivyooo! Rejesho la watu
 
Kwa hiyo wengine mwaka utuendee vibaya, sio?
 
He mbona umeniacha na mm,basi najitakia heri mimi mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…