Wanajamvi naacha wosia na nyinyi ni mashaidi

Mzuka wanajamvi!

Raila Odinga akishinda huu uchaguz nchini Kenya natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua.

Hafiii mtu hapa!
Wapumbavu na vichaa ni wengi tu wodi za kulipia kumbuka. Uchaguzi ni wa watu wa Kenya ww uko kijijini kwenu huko unahusika vipi ?. Fanya kazi acha papara na ujinga huo. Uchi huwezi kutembea hata wasipopata mshindi.
 
Una msongo wa mawazo unataka kuutumia Uchaguzi wa kenya kuhalalisha kujiua kwa kuwa una msongo wa mawazo mambo hayaendi kama unavyotegemea ningekushauri wewe jiue tu acha kujivika kivuli cha Uchaguzi wa Kenya. Tuambie upo Mkoa gani tukuchangie kufikisha ujumbe kwa wazazi wako na ndugu zako juu ya hatua uliyo nayo kwa sasa ya msongo wa maisha
 
Wapumbavu na vichaa ni wengi tu wodi za kulipia kumbuka. Uchaguzi ni wa watu wa Kenya ww uko kijijini kwenu huko unahusika vipi ?. Fanya kazi acha papara na ujinga huo. Uchi huwezi kutembea hata wasipopata mshindi.
Nyinyi watu wenye upeo mdogo wa kufikiri mnakera Sana. Tuacheni sisi tuliobobea maswala ya geopolitics ikijumuisha bongo, Africa mashariki pamoja na maziwa makuu kwa ujumla Ruto ni muhimu Sana katika mustakabali wa ukanda huu.
 
Ata wakimpigia kura paka, ni nchi yao, na mambo yao, hayatuhusu
 
Kama sio msongo wa mawazo basi una mtindio wa ubongo, jitahidi uwe unakunya asubuhi itakusaidia.
 
Weeee!!! Tuliza huo mshono , afuu unasema unaijua geopolitics.

Mashabiki wa siasa walikuepo

Wewe kama unalo lingine jiue huko huko bila kutangaza
 
Wapumbavu na vichaa ni wengi tu wodi za kulipia kumbuka. Uchaguzi ni wa watu wa Kenya ww uko kijijini kwenu huko unahusika vipi ?. Fanya kazi acha papara na ujinga huo. Uchi huwezi kutembea hata wasipopata mshindi.
Wee mwenyewe unaanika makalio Yako kwenye avatar yako
 
Nyinyi watu wenye upeo mdogo wa kufikiri mnakera Sana. Tuacheni sisi tuliobobea maswala ya geopolitics ikijumuisha bongo, Africa mashariki pamoja na maziwa makuu kwa ujumla Ruto ni muhimu Sana katika mustakabali wa ukanda huu.
Huna akili.
Usidanganywe na kura za makaratasi. Raila atatangazwa na kuapishwa immediately. Unajua geopolitics gani wewe....punguzeni ujuaji
 
Mzuka wanajamvi!

Naapa Raila Odinga akishinda huu uchaguz nchini Kenya natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua.

Hafiii mtu hapa!
Kuna mwenzio alifanya upumbavu Kama huu huu.
Alitangaza kwamba Yanga ikiifunga Simba kwanza ataikana dini yake ya kiislamu Kisha atatembea uchi Kawe mpaka mwenge.
Yanga tukaifunga Simba mapema Sana......
 
Alitekeleza?
 
Mwenzio hapo mabibo mwaka majuzi alisema simba ikiifunga yanga nawapa mke wangu, kaulize yaliyomkuta.
 
Back
Top Bottom