Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Dogo acha bangiMzuka wanajamvi!
Naapa Raila Odinga akishinda huu uchaguz nchini Kenya natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua.
Hafiii mtu hapa!
Anayetaka kujiua ndio upeo mkubwa ?? Fikiria vizuri kijana acha kubwabwaja hapa.Nyinyi watu wenye upeo mdogo wa kufikiri mnakera Sana. Tuacheni sisi tuliobobea maswala ya geopolitics ikijumuisha bongo, Africa mashariki pamoja na maziwa makuu kwa ujumla Ruto ni muhimu Sana katika mustakabali wa ukanda huu.
Yakikauka nitayatoa vipi ww unayeanika upumbavu wako hapa jukwaani cheki unavyotoa ujinga. Ficha upumbavuWee mwenyewe unaanika makalio Yako kwenye avatar yako
Mzee kigagula do the needful huyu kijana ana stress.
Ngoja nione [emoji23]Mzee kigagula do the needful huyu kijana ana stress.
Nyau weweYakikauka nitayatoa vipi ww unayeanika upumbavu wako hapa jukwaani cheki unavyotoa ujinga. Ficha upumbavu
komwe tena?Hakika hayakuhusu,tuliza komwe
🤣🤸komwe tena?