Wanajamvi nimetokewa na kitu kama jipu kwenye shavu but halijawahi kuiva hata siku moja.

Wanajamvi nimetokewa na kitu kama jipu kwenye shavu but halijawahi kuiva hata siku moja.

Erick Kas

Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
20
Reaction score
1
Nimeotwa na uvimbe kama jipu shavuni!! Lakini cha ajabu ni kwamba halijawahi kuiva hata siku moja. Naomba msaada tatizo litakuwa ni nini.?
 
Pole sana ndugu, hebu weka picha hata eneo hilo lenye hiyo hali
 
Back
Top Bottom