Kila siku tunashuhudia thread zinazohusu Tcu na Heslb kwa wingi...haya tu-enjoy kivingine kwa kutunga sentensi ya kiingereza kwa kutumia haya maneno.."Simply because..............it doesn't mean......."
Naanza mimi "Simply because i post foolish threads it doesn't mean i am also a fool..
Haya twende kazi wanajamvi....